//nmejifunza alphabeti ndo kisha nkauda jina//
/na skagui kibeti kama unachonidai najua sina//
(nlimaanisha natumia the right procedure kwa kila nachofanya kwa sababu
huwez kuunda jina kabla hujajua alphabets kisha sifanyi chochote nachojua hakitazalisha chochote)
No comments:
Post a Comment