//Maisha mhudumu , yameleta tofauti na nilichokiagiza//
//Sahani ya hali ngumu, wakati mwenzenu mi niliomba pizza//
//Nahisi ni hukumu, huku kutafta pin kwenye giza//
//Mola simlaumu, najenga imani ipo sku atazusha miujiza//
//Siku zinakwenda, wenzangu wanachana calendar//
//Kila nachotenda, hakitoki jinsi nilivyopenda//
//Nawaza kamba shingoni,ila napoozwa na imani//
//Nakosa raha moyo
ni , siku zangu mbona sizioni//
//Wenzangu naona wakila, kila shoot kwao ni bao//
//Mwenzao mi napura, shabiki analeta madharau//
//Nmeishi sana kwenye shinda, kitaani wananiita legendare//
//Pesa najaribu kuiwinda, ila nabakia kuwa pale pale//
//Mola nisamehe, nisiwe nimekosa unaniadhibu//
//Badilisha tarehe, siku zisongeze huku karibu//
//Ona ngozi imechakaa, sina tena rahaa//
//Machizi wanishangaa,ila bado sikati tamaa/

No comments:
Post a Comment