\\Wanasema amerithi Idi Amin ,Kidictator\\
\\Hata Masoldier hawaliamini, eti umewateka\\
\\Hivi inakufaidi jinsi gani, wana wakiteseka\\
\\Tukiumwa umekua kama shatani, we tunacheka\\
\\Kwanza ni kweli, umewatuma kina dada wakajiuze?\\
\\Umefadhili matapeli, nakuomba hebu nijuze\\
\\Bongoflava wanakusingizia, umewalazimisha kuimba mapenzi\\
\\Huu upande wa pili pia, bila rap katun
i inasemekana huwezi\\
\\Mi nmekuchukia, umefanya hadi washkaji kunikimbia\\
\\Kitu walichoniambia, kwangu upo sana hawawezi kuvumilia\\
\\Si ndo wewe umetuma majambazi, wakapore benki?\\
\\Umetupa adhabu ya kazi, na kuabudu centi?\\
\\Ila saa njaa,kuna kitu nakushangaa\\
\\Hubagui ataaa,kwa misingi ya mtu anapokaa\\
\\Natamani kukudis,.ili uniache in peace\\
\\Ukienda sitokumiss, unaniuma ile kichiz\\

No comments:
Post a Comment